Siandiki huko sana. Pole sana. Nilisoma isimu ya lugha na Kiswahili. Si muda kwa kuandika. Pia, nililala na kuona Star Trek sana. Captain Picard anataka kusema na Daktari Crusher kwa sababu yeye anapenda Crusher.
Nitaandika! Kesho, nitaandika. Utaona.
Wednesday, March 11, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)